Vivan cappatinho
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 284
- 238
- Thread starter
- #41
Kanikosoa tena kwa kunitukana nikataka kumuonesha kwamba ata yeye ni binadamu anakoseaUna GUTS za kusahihisha… ahahahahahahahaa
Kanikosoa tena kwa kunitukana nikataka kumuonesha kwamba ata yeye ni binadamu anakoseaUna GUTS za kusahihisha… ahahahahahahahaa
Sawa ndug yangSiku nyingine usipende kujiingiza kwenye matatizo ya kujitakia mkuu
Lakini hela umetoa za nini mkuu? Za kuwahonga police?Hii post imenifikisha pabaya sana sio kweli mimi sijatembea na mwanafunzi wala sijampa mimba mtu yoyote nlitumia njia ile ili niuze simu alaka, kuna jamaa umu mse....... Kajifanya anatak kununua simu akaniita tukakutana.... Akanichomesha kwa askar dah nmetoa hela nying sana kwa ujinga wangu. Yan ndio natoa saivi police toka saa tatu asubuh yan jamaa kanichoma kwa police et nmempa mimba mwanafunzi alaf akatak na kunidhurum anawaambia police et hii simu ni yake sema police wanabusara sana wakagoma kumpa simu jamaa akaondoka akaniachia msala dah nimejifunza kitu
Ilo swali naisi ni gumu siwez toa jib nisije kujikuta centralLakini hela umetoa za nini mkuu? Za kuwahonga police?
Hahahahahahahahahah sawa mkuu...ila usisahau umeshaweka kwenye uzi na watu wa TAKUKURU wapo humu jamiiforums piaIlo swali naisi ni gumu siwez toa jib nisije kujikuta central
Usingetoa pesa .Ungewaambia wakupeleke mahakamani halafu wamlete Huyo mwanafunziHii post imenifikisha pabaya sana sio kweli mimi sijatembea na mwanafunzi wala sijampa mimba mtu yoyote nlitumia njia ile ili niuze simu alaka, kuna jamaa umu mse....... Kajifanya anatak kununua simu akaniita tukakutana.... Akanichomesha kwa askar dah nmetoa hela nying sana kwa ujinga wangu. Yan ndio natoa saivi police toka saa tatu asubuh yan jamaa kanichoma kwa police et nmempa mimba mwanafunzi alaf akatak na kunidhurum anawaambia police et hii simu ni yake sema police wanabusara sana wakagoma kumpa simu jamaa akaondoka akaniachia msala dah nimejifunza kitu
Ngoja TAKUKURU watamchukua tena mkuuUsingetoa pesa .Ungewaambia wakupeleke mahakamani halafu wamlete Huyo mwanafunzi
Dah sa itakuaje mbona pressure tena me najuwa yameishaHahahahahahahahahah sawa mkuu...ila usisahau umeshaweka kwenye uzi na watu wa TAKUKURU wapo humu jamiiforums pia
Daaahhh pole sana mkuuHii post imenifikisha pabaya sana sio kweli mimi sijatembea na mwanafunzi wala sijampa mimba mtu yoyote nlitumia njia ile ili niuze simu alaka, kuna jamaa umu mse....... Kajifanya anatak kununua simu akaniita tukakutana.... Akanichomesha kwa askar dah nmetoa hela nying sana kwa ujinga wangu. Yan ndio natoa saivi police toka saa tatu asubuh yan jamaa kanichoma kwa police et nmempa mimba mwanafunzi alaf akatak na kunidhurum anawaambia police et hii simu ni yake sema police wanabusara sana wakagoma kumpa simu jamaa akaondoka akaniachia msala dah nimejifunza kitu
Ushahidi hakuna mkuuNgoja TAKUKURU watamchukua tena mkuu
Shida ni kesi kufika mahakaman sio leoUsingetoa pesa .Ungewaambia wakupeleke mahakamani halafu wamlete Huyo mwanafunzi
Shukran sanaDaaahhh pole sana mkuu
Dah unanipa moyoUshahidi hakuna mkuu
Amesema mwenyewe kuwa ametoa helaUshahidi hakuna mkuu
Ana alaka alaka sana ndiyo maana walimzungusha kama tialaUsingetoa pesa .Ungewaambia wakupeleke mahakamani halafu wamlete Huyo mwanafunzi
Aaahh wapo ila msitishe..sema njaa tuu ndo zimejaa mpaka nyote mnajiita maaskar, wanausalama.Mrejesho![]()
Mlejesho![]()
Dogo ndo ujifunze hapa JF kuna Wanajeshi, Police na maafisa usalama mbalimbali kwaiyo unapo andika uzi uwe unazingatia mambo haya
Hii ingeenda haraka kama kuna MTU wa karibu anayefatilia hata kwa habeas corpusShida ni kesi kufika mahakaman sio leo
Ndio ivyo nimemshangaa kinoma kanibadilikia kabisa akajifanya tunajuwanaHUMU JF VIBAKA WENGI SANA.
kwaiyo jamaa akataka akupoteze nabado simu yako abebe??
Usingeandika kwenye uzi kama umetoa hela mkuu....usijechomeshwa kwa watu wa TAKUKURU humu kama ulivyopelekwa policeDah unanipa moyo
Mbona ivyo jamaniAmesema mwenyewe kuwa ametoa hela