Nauza simu Tecno Phatoom 6

Nauza simu Tecno Phatoom 6

Mpya inauzwa laki 5 sa akifanya nusu unashangaa.. Mbona 400k umeshindwa?

Mbona 400k nimeshindwa...?, nimeshindwa kufanyaje tena dadangu...?

Ulihisi nataka niinunue mama, sikuhitaji kuinunua ila bei aliyoweka na bei nnazojua Kwa Phantom6 ndio nikashangaa.

Siku nyingine uspende kudandia treni kwa mbele utapigwa chini uvimbe juu. Acha kufikiri kwa kutumia makalio jaribu kushughulisha ubongo wako walau.

Karibu tena.
 
Labda ana tatizo wakuu, kimuonekano hiyo simu ni og tena mpya, kama vipi mkuu peleka dukani utapewa nusu pesa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom