Nauza Simu, SAMSUNG GALAXY S7, GOLD, ORIGINAL

Nauza Simu, SAMSUNG GALAXY S7, GOLD, ORIGINAL

Top unanifanyia ngap au tukifanya exchange na a7 2016 nitaongezea sh ngap?
Sasa nitaexchange S7 na A7 kweli? S7 ni flagship iyo A7 ni midrange...vitu viwili tofauti.
Anyways mi nna shida na ela, simu ntatumia ata tochi tu. Nipe cash.
 
-Ni used like brand new, maana toka siku ya kwanza hadi leo ipo kwenye screen protector na cover lake. Haina any scratches, haijapauka na ata mkwaruzo mmoja hamna.
Ni Duos, ina 32Gb internal memory. Specifications nyingine ni izo za Galaxy S7.
HAINA TATIZO LOLOTE na HAIJAWAI KUPIGWA SPANA. Ina Warranty ya 2yrs from Samsung East Africa..
nakupa na box lake, warranty card na risiti yangu mimi niliyonunulia. Pia unapata Charger yake Original (adaptive fast charging) na USB connector, earphones zilipotea.
Nauza kwa sababu binafsi, kufulia ikiwa mojawapo.

Bei ni 1.1M Tshs.

Karibuni wote.
N.B simu ni Original, haina tatizo lolote. Haijawai kupigwa spana ama kuguswa na mikono zaid yangu.
Sitaki ujanja ujanja na uswahili ndo mana nimetoa maelezo ya kutosha.
Ni strictly business.
Hehehehehe...duuuuh. Used ni 1.1m?
Ikiwa mpya je? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We jamaa unaishi wapi aisee?
Usilete masihara na pesa za watu.
 
Hehehehehe...duuuuh. Used ni 1.1m?
Ikiwa mpya je? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We jamaa unaishi wapi aisee?
Usilete masihara na pesa za watu.
We mchimba chumvi baki huko huko uvinza haya nambo huezi elewa.
Iyo 1.1M unaiona ni bilioni sio.
Ungekua mjini ningekuambia nenda kaulizie mpya bei gani....ila kwakua upo uvinza..pole.
 
We mchimba chumvi baki huko huko uvinza haya nambo huezi elewa.
Iyo 1.1M unaiona ni bilioni sio.
Ungekua mjini ningekuambia nenda kaulizie mpya bei gani....ila kwakua upo uvinza..pole.
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hahahahahahahahahahahaha
Kama una data ingia leo leo tz

Unataka ukatoe mahari kwa kuuza simu lako used?
Pole sana. Huku Uvinza tulishaamka kitambo sana.
Wasalimie wajanja wenzio wa mjini. Ngoja watanunua. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uwiiiiiiiiii mbavu zangu mie!!
 
Back
Top Bottom