Nauza simu Samsung ao5 ram4..gb 128

Nauza simu Samsung ao5 ram4..gb 128

Mike400

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2015
Posts
236
Reaction score
115
Habari za majukumu wakuu . Kama kichwa kinavyojieleza nauza simu yangu Samsung ao5 ina ram 4 .. memory ni gb 128 .. battery 5000 mah .. clean as new ..
Bei 210k ..
Mteja serious..0684 56 25 23
Unapata charge original..pamoja na earphones
 

Attachments

  • IMG-20250314-WA0023.jpg
    IMG-20250314-WA0023.jpg
    42.9 KB · Views: 26
  • IMG-20250314-WA0019.jpg
    IMG-20250314-WA0019.jpg
    57.2 KB · Views: 25
  • IMG-20250314-WA0022.jpg
    IMG-20250314-WA0022.jpg
    33.2 KB · Views: 25
  • IMG-20250314-WA0021.jpg
    IMG-20250314-WA0021.jpg
    64.5 KB · Views: 22
  • IMG-20250314-WA0020.jpg
    IMG-20250314-WA0020.jpg
    61.3 KB · Views: 24
Kabla hatujaongea biashara Nina maswali yangu matatu;

1: Lisiti ya hiyo simu ipo?
2: Haina kipengele chochote?
3: Unapatikana wapi?

Ni hayo tu nasubili Risiti
1.Risiti sina mkuu .. ila ni mali yangu halali .. uthibitisho upo ..
2..Haina kipengele.. nauza kwa dharura ..
3..nipo dar mbweni ..
Naamini nimekujibu boss
 
Back
Top Bottom