Shamba la ukubwa wa Ekari tatu(3) nauza kila Ekari kwa Shilingi Milioni moja na Nusu(1,500,000/=). Linapatika Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani barabara ya MorogoroRoad eneo la Visiga Seminary Kituo kinachoitwa Madafu, kutoka barabara ya Morogoro Road unaingia upande wa kuliaunaposhuka Madafu ukitokea Dar umbali wa kilometa sita (5) kuingia eneo lashamba pia ni barabara inayotokea Bagamoyo na Tegeta. Shamba linafaa kwa kulimana kujenga , kufuga ni maeneo ambayo pia madhehemu mbalimbali wanamiliki vitega uchumi vyao kufuga kulimanakadhalika. Kwa mawasiliano nipigie 0714 404 057, 0755 033 997.