Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,636
- 4,420
Hekari kumi tafadhali
Kwa hiyo ulitaka nisimuulize kuwa je kweli ni laki na nusu??kama kakosea je??Kwa hiyo unataka apandishe bei au? Mjapani alitengeneza vikirikuu kwa ajili ya kusogeza vitu vidogovidogo hapa na pale ambapo bei yake ilikuwa haizidi milioni mbili hadi usajili, wabongo tukaviparamia kwa fujo hadi sasa ivi vinazidi milioni kumi. Yeye anauza 150,000 kwa eka,hajakwambia location vzr, ww unaona ni bei rahisi sana!