Nauza shamba Bagamoyo

Nauza shamba Bagamoyo

Nombo de classic

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2016
Posts
286
Reaction score
380
Habari ndugu! Nimepata shida ya ghafla melazimika kuuza shamba langu lililoko Bagamoyo barabara ya kuelekea sadani.

Shamba nzuri ardhi ina faa kwa kilimo cha mazao mbali mbali pia haliko mbali na bara bara.

Shamba lina ukubwa wa hekari 34 kwa sasa ntauza hekari 24 tu. Sio lazima ununue hekari zote 24 hata Kama unahitaji hekari 3 au 4 ntakuuzia.

Bei ni Tsh 150,000/= tu kwa hekari
Mawasiliano: 0769272733
images%20(7).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umesema bei ni laki na nusu kwa ekari? Nimeona umeandika vizur ila nataka kudhibitisha usikute labda sifuri zimepungua
 
Habari ndugu! Nimepata shida ya ghafla melazimika kuuza shamba langu lililoko Bagamoyo barabara ya kuelekea sadani.

Shamba nzuri ardhi ina faa kwa kilimo cha mazao mbali mbali pia haliko mbali na bara bara.

Shamba lina ukubwa wa hekari 34 kwa sasa ntauza hekari 24 tu. Sio lazima ununue hekari zote 24 hata Kama unahitaji hekari 3 au 4 ntakuuzia.

Bei ni Tsh 150,000/= tu kwa hekari
Mawasiliano: 0769272733View attachment 1041761

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi nahitaji hekari mbili nipo serious, naomba nijulishe kama naweza kupata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shamba laki moja na nusu???
Habari ndugu! Nimepata shida ya ghafla melazimika kuuza shamba langu lililoko Bagamoyo barabara ya kuelekea sadani.

Shamba nzuri ardhi ina faa kwa kilimo cha mazao mbali mbali pia haliko mbali na bara bara.

Shamba lina ukubwa wa hekari 34 kwa sasa ntauza hekari 24 tu. Sio lazima ununue hekari zote 24 hata Kama unahitaji hekari 3 au 4 ntakuuzia.

Bei ni Tsh 150,000/= tu kwa hekari
Mawasiliano: 0769272733View attachment 1041761

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shamba laki moja na nusu???

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unataka apandishe bei au? Mjapani alitengeneza vikirikuu kwa ajili ya kusogeza vitu vidogovidogo hapa na pale ambapo bei yake ilikuwa haizidi milioni mbili hadi usajili, wabongo tukaviparamia kwa fujo hadi sasa ivi vinazidi milioni kumi. Yeye anauza 150,000 kwa eka,hajakwambia location vzr, ww unaona ni bei rahisi sana!
 
Back
Top Bottom