Jick JF-Expert Member Jan 15, 2014 1,209 1,797 Dec 13, 2016 #1 Kwa mikoa ya Mwanza, Geita, pia Kahama, Nzega n.k Kama unataka senene wailokaangwa kwa jumla ni PM Nauza kuanzia nusu ndoo (lita10), ndoo nzima (Lita 20) na kuendelea Bei nusu ndoo ni Tsh 90,000/= Bei ndoo kubwa. Tsh 170,000/= Karibuni sana PM.
Kwa mikoa ya Mwanza, Geita, pia Kahama, Nzega n.k Kama unataka senene wailokaangwa kwa jumla ni PM Nauza kuanzia nusu ndoo (lita10), ndoo nzima (Lita 20) na kuendelea Bei nusu ndoo ni Tsh 90,000/= Bei ndoo kubwa. Tsh 170,000/= Karibuni sana PM.
essaugervas JF-Expert Member Jun 25, 2016 581 278 Dec 13, 2016 #2 aiiise kumbe hao wadudu wanabei kiasi hicho
Jick JF-Expert Member Jan 15, 2014 1,209 1,797 Dec 13, 2016 Thread starter #3 essaugervas said: aiiise kumbe hao wadudu wanabei kiasi hicho Click to expand... Inategemea wingi wao sokoni Ila hata wakiwa wengi ndoo kubwa haipungui 150,000
essaugervas said: aiiise kumbe hao wadudu wanabei kiasi hicho Click to expand... Inategemea wingi wao sokoni Ila hata wakiwa wengi ndoo kubwa haipungui 150,000