Nauza Samsung S5 clone

Nauza Samsung S5 clone

Noriega Jr

Senior Member
Joined
Apr 12, 2014
Posts
168
Reaction score
59
Habari za asubuhi wana jf nauza Samsung S5 clone mpya ikiwa kwenye box 📦, Made in Korea,
Nina pcs 5 rangi ya Gold,white,na black, bei Tshs 420,000/= laki 4 na elfu ishirini, kwa anaehitaji nicheki hapa, bunny.msa@gmail.com
 
Attachments

  • 1399257762348.jpg
    1399257762348.jpg
    38.2 KB · Views: 371
  • 1399257779645.jpg
    1399257779645.jpg
    37.7 KB · Views: 326
  • 1399257796565.jpg
    1399257796565.jpg
    80.8 KB · Views: 316
  • 1399257820775.jpg
    1399257820775.jpg
    40.3 KB · Views: 317
Habari za asubuhi wana jf nauza Samsung S5 clone mpya ikiwa kwenye box 📦, Made in Korea,
Nina pcs 5 rangi ya Gold,white,na black, bei Tshs 420,000/= laki 4 na elfu ishirini, kwa anaehitaji nicheki hapa, bunny.msa@gmail.com

Heheee hizo Clones baki nazo mwenyewe, kwanza Clones toka lini zimatengenezwa Korea? au unamaanisha North Korea? Maana Samsung Original zinatengenezwa South Korea na hakuna kampuni nyingine inayozitengeneza huko South. Hizi Clones zinatoka China, Taiwan na Hong Kong. Usidanganye watu hapa. Kwanza hata kwenye Cable zako hapo kwenye picha imeandikwa Made in China.. Clone World!!
 
Umemaliza? Haya waachie wenye kuhitaji
 
aiseee..kumbe mtu akielimisha wengine inakuwa nongwa?
 
Heheee hizo Clones baki nazo mwenyewe, kwanza Clones toka lini zimatengenezwa Korea? au unamaanisha North Korea? Maana Samsung Original zinatengenezwa South Korea na hakuna kampuni nyingine inayozitengeneza huko South. Hizi Clones zinatoka China, Taiwan na Hong Kong. Usidanganye watu hapa. Kwanza hata kwenye Cable zako hapo kwenye picha imeandikwa Made in China.. Clone World!!

Aisee, mbona unamuharibia biashara mwenzio, kwanza amekuwa kind enough kusema ni clone.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Ushaambiwa ni clone, bado mnamshambulia! kazi kwelikweli.
 
Heheee hizo Clones baki nazo mwenyewe, kwanza Clones toka lini zimatengenezwa Korea? au unamaanisha North Korea? Maana Samsung Original zinatengenezwa South Korea na hakuna kampuni nyingine inayozitengeneza huko South. Hizi Clones zinatoka China, Taiwan na Hong Kong. Usidanganye watu hapa. Kwanza hata kwenye Cable zako hapo kwenye picha imeandikwa Made in China.. Clone World!!

99% ya charge za samsung zinatoka china hata ununue kwenye maduka ya samsung ukifungua boksi utakuta hivyo hivyo cha muhimu ni kumwambia ajiulize maea 2 hiyo bei yake
 
Aisee, mbona unamuharibia biashara mwenzio, kwanza amekuwa kind enough kusema ni clone.

Sent from my iPhone using JamiiForums app

Amekua kind kusema clone lakini akidanganya kuwa ni clone ya Korea wakati Korea hawatengenezi Clones. ni lazima ifike wakati wa Tanzania tukatae bidhaa feki. Mbona nchi zilizoendelea wamefanya hivyo sisi tunashindwa nini? Hata jirani zetu Kenya hapo wamekataza kabisa hizo clones, sisi ndio tunajifanya vinara wa kuziDump nchini kwetu. Ndio maana maendeleo yanakuwa duni!! Neno Clone sikuhizi linatumika kupunguza ukali wa maneno kama 'feki(bandia), countefeit, mchina(kibongo bongo),,
 
Zinamuonekano mzuri

zina muonekano mzuri lakini gusa unate!! Sikushauri kabisa ununue clones maana miaka hii watu washajanjaruka, utainunua kwa 420k ila baada ya miezi mi3 ikishaanza kusumbua au ukakutana na original yake ukaCompare, lazima ujilaumu. utakuja kuiuza laki moja ndani ya muda mfupi. Kama budget imebana sana bora ununue hata s3 iliyo katika hali nzuri lakini ni original..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom