Open school
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 1,575
- 2,427
Ni vizuri tungejua gharama ya ku-repair.Sijaulizia aisee...
Ni vizuri tungejua gharama ya ku-repair.Sijaulizia aisee...
Hii sio S4, ni S4 Active na zilikuja chache sana Tz so sidhani hata Samsung wako na spare parts zake nadhani ni mpaka waagize, sikuona haja ya kuulizia maana haina shida may be iwe just 4 show..Ni vizuri tungejua gharama ya ku-repair.
Asante kwa ufafanuzi.Hii sio S4, ni S4 Active na zilikuja chache sana Tz so sidhani hata Samsung wako na spare parts zake nadhani ni mpaka waagize, sikuona haja ya kuulizia maana haina shida may be iwe just 4 show..