Nauza Samsung s4 mpya

Nauza Samsung s4 mpya

Nakupm namba inagoma kama vp nipm yako nikutafute
 
Msiogope TCRA sijui nini yaani kama hii SAMSUNG ya JAMAA hata ikiwa ya June si unaweza kuitumia kama 1 CAMERA 2. MEDIA PLAYER 3. STORAGE yaani mm nileteeni tu hizo mnazozihofia
 
Itakuwa Sio mpya kabisa, naamini hiyo simu itakuwa ni used japo hata kidogo bhana. Unataka kusema hata kuiweka laini hujaweka mkuu?
 
Back
Top Bottom