Nauza Samsung Galaxy SIII Mini mpya

Nauza Samsung Galaxy SIII Mini mpya

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
248
Simu ni nyeupe na imetumika kwa miezi miwili tu.
Ipo na Earphone na charger yake na Cover lake.

Google specifications zake.

Bei ni 220,000
 
Weka picha tufanye biashara

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kiswahili; nilivoona title nilivutiwa kuinunua, baada ya kufungua ujumbe naona used...aaaghhh😡😡
 
Simu ni nyeupe na imetumika kwa miezi miwili tu.
Ipo na Earphone na charger yake na Cover lake.

Google specifications zake.

Bei ni 220,000

Sio CLONE hiyo simu yako?

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Acha ujinga wewe,una kera bhana,kila thread umeweka huo ujnga wako

Mkuu huyo jamaa wa dalali.com ni kero sana ndani ya jukwaa hili hivi anadhani huko anakotaka waende wakauze hawakujui.

Yaani kila thread anaandika sasa ikiwa huko dalali.com kuna wanunuzi hata hapa wapo.
 
Kwa kifupi huyo jamaa ni mseng....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom