Nauza Samsung Galaxy S5 mpya

Nauza Samsung Galaxy S5 mpya

Sasha7

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2014
Posts
233
Reaction score
56
Nauza simu aina ya Samsung Galaxy s5 mpya full boxed ikiwa na nyaraka au stakabadhi zote halali zikiwemo charge,,earphones na risiti pamoja na Warranty ya miaka miwili

Sababu ya kuiuza ni shida ya pesa tu..nna shida na pesa naiuza huku moyo unahuzunika ila sina namna

Bei laki tisa za KiTanzania (900,000)/=

Colour electric blue kama unavyoiona hapo juu

Mawasiliano 0688 913 666

Ahsanteni!!!!
 
Attachments

  • 1426321600277.jpg
    1426321600277.jpg
    4.7 KB · Views: 921
  • 1426321625060.jpg
    1426321625060.jpg
    3.4 KB · Views: 924
  • 1426321648076.jpg
    1426321648076.jpg
    62.7 KB · Views: 626
  • 1426321733304.jpg
    1426321733304.jpg
    59.5 KB · Views: 617
tangazo zuri na simu yaukweli usiiuze vuta subra utapata iyo pesa kwa namna usiyoitarajia

pole sana shida izi mbaya sana
 
Vuta subira shida itapita lakini kuipata tena hiyo cm ukishauza ni kaazi kweli kweli
 
dah maisha tu kaka pole.yashanikita hayo niliuza tv samsung inch 42 iliniama sana ila ndio maisha mtu kinamfaavchake
 
Kama yangu vile yaan nnayo kama Iyo mpaka huruma jaman vumilia usiiuze maana kuipata tena kama Iyo sio rahisi
pole sana mamii
 
dah maisha tu kaka pole.yashanikita hayo niliuza tv samsung inch 42 iliniama sana ila ndio maisha mtu kinamfaavchake
Ahsante

so sad ila nifanyeje sasa no way out
ahsante mwaya sina namna zaid ya kukabiliana na hali halisi
 
Kama yangu vile yaan nnayo kama Iyo mpaka huruma jaman vumilia usiiuze maana kuipata tena kama Iyo sio rahisi
pole sana mamii

ahsante mamii wangu nauza uku nalia moyoni
 
Kama yangu vile yaan nnayo kama Iyo mpaka huruma jaman vumilia usiiuze maana kuipata tena kama Iyo sio rahisi
pole sana mamii

Mbona umemsikitikia sana? Kwani bei yake ni shingapi?
 
tangazo zuri na simu yaukweli usiiuze vuta subra utapata iyo pesa kwa namna usiyoitarajia

pole sana shida izi mbaya sana

ahsante sana kwa faraja ndo ivo shida haina mwenyewe sipend kuiuza lakn sina namna
 
Kwanini unalia??

Kwamba uliinunua kwa hela ya mkopo au??

nalia sababu kuja ipata tena kama hii sio rahisi
iyo pesa naihitaji kwasasa haraka iwezekanavyo ndio maana naiuza

SIKUKOPA

heshima kitu cha bule ndugu yaan nikope ndo ninunue simu?USIMDHARAU USOMJUA
 
Mbona unauza bei sana inamaana hiyo simu ungekua hauna shida ungeuza sh. Ngapi
 
Mbona unauza bei sana inamaana hiyo simu ungekua hauna shida ungeuza sh. Ngapi na dukani ni sh. Ngapi
 
Mbona umemsikitikia sana? Kwani bei yake ni shingapi?

Moja;; nimemsikitikia sababu ni simu nzuri sana na iko juu sana kwenye soko la simu

Mbili;; kwajinsi alivyotoa tangazo kajieleza vyema kua ni mali halali na vithibitisho vyote anavyo japo kajieleza kiunyonge ndio maana nimepata simanzi Kwani ata mm natumia simu kama iyo

Tatu na Mwisho;; Kuhusu bei nenda Jmall Posta Pale makao makuu ya Samsung Mobiles au Mliman City pale Samsung Shop then uliza utapata BEI YAKE,natumai nimekujibu vizuri mkuu

Asante
 
Mbona unauza bei sana inamaana hiyo simu ungekua hauna shida ungeuza sh. Ngapi na dukani ni sh. Ngapi

naomba nikujibu Kwa niaba ya mtoa mada
Pale posta makao makuu ya Samsung wanauza ml moja laki moja na hamsini elfu za KITANZANIA
 
dah maisha tu kaka pole.yashanikita hayo niliuza tv samsung inch 42 iliniama sana ila ndio maisha mtu kinamfaavchake

pole mkuu yalokukuta hayo ata me yalishanikuta ndo maisha yalivyo kikubwa awe na subra Sasha7
 
Last edited by a moderator:
acheni mambo ya ajabu ndg yetu ana shida kama uwezi kuongea busara bora ukae kimya
 
Kama yangu vile yaan nnayo kama Iyo mpaka huruma jaman vumilia usiiuze maana kuipata tena kama Iyo sio rahisi
pole sana mamii

Jitolee aiweke bondi kwako umpe hiyo yela akipata atakurudishia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom