Nilikuwa naingiza shilingi 100,000/= mpaka 115,000/= kwa siku . Siku kama hakuna mauzo sana basi nilikuwa napata 80,000/= mpaka 60,000/= kwa siku.Ilikuwa inaingiza sh ngapi kwa siku? Je hiyo M6 nikiwekeza inaweza kurudi baada ya muda gani?
Ana shida badala ya kusema ukweli anajifanya ana piga kamisheni. Ndo tatizo la wabongo wanapenda kuishi maisha ya ku pretend sanaMkuu huna ndugu asiye na ajira umsaidie kukaa hapo kama muangalizi afu uwe unakula kamisheni
Samwel mdodo , wewe kweli una macho mazuri maana umeona kweli kilichopo kwenye salon , nakupa Big up!sema saloon iko HOT wenye idea ya kazi na mnaweza isimamia dodo hilo hapo...Acha nitulie Tamaa zisije niponza bure.
Mimi nakaa banana. Hio mil 4 yenyewe nimeiunga ungaKaka Saint ivuga naomba niongezee laki 3 tu iwe 4.3 nikupe na wewe salon upige pesa.
Sisi Jamii forum ni ndugu. Nipe 4.3 tu tumalize biashara.
Promo nyingi tena za ivyo ovyo mpk unakera. Bila shaka wewe ni tapeli wa mjini.Sawa wewe subiri hapo hapo banana .
Haujalazimishwa kusoma tangazo , wala hujalazimishwa kununua salon !!!!
Vipi ndugu????
Mkuu, jirani na Jumbo mbona ni Salon ya kike ? Au ni pale jirani na wanakosimama vijana wanoa-control magari ya mradi wa SGR ? Ingawa chumba hicho sasa hivi ni duka.HII SALON IPO HAPA UWANJA WA NDEGE WA DAR ES SALAAM . nyuma ya kituo cha mabasi kama unakwenda mjini jirani na JUMBO.
mkuu ninaomba unipatie miezi mitatu ya mitazamio.nikiwa naingiza hiyo hela uliyosema.ninakupatia milioni kumi. Nipo tayari kuandikiana kuwa MIE napandisha dau. Yaani nikiwa naingiza hela ndogo 50 kwa siku.MIE nakupatia 10M. Trust me ila sio kuwa nakulazimisha bali nakuombaNilikuwa naingiza shilingi 100,000/= mpaka 115,000/= kwa siku . Siku kama hakuna mauzo sana basi nilikuwa napata 80,000/= mpaka 60,000/= kwa siku.
Uzuri ipo sehemu nzuri kibiashara. Uwanja wa ndege Dar .JNIA.
Mkuu nin mkuu ninaomba unipatie miezi mitatu ya mitazamio.nikiwa naingiza hiyo hela uliyosema.ninakupatia milioni kumi. Nipo tayari kuandikiana kuwa MIE napandisha dau. Yaani nikiwa naingiza hela ndogo 50 kwa siku.MIE nakupatia 10M. Trust me ila sio kuwa nakulazimisha bali nakuomba
Siyo mbwembwe mimi sasa hivi napiga dollars tu . Sasa Safari za nje zimekuwa nyingi hivyo usimizi umekuwa mdogo ndiyo maana nauza hii salon nipige fedha kubwa kubwa vizuri.
Mkuu ngoja nifikirie nitakupa jibu kwa ombi lako.Mkuu nin mkuu ninaomba unipatie miezi mitatu ya mitazamio.nikiwa naingiza hiyo hela uliyosema.ninakupatia milioni kumi. Nipo tayari kuandikiana kuwa MIE napandisha dau. Yaani nikiwa naingiza hela ndogo 50 kwa siku.MIE nakupatia 10M. Trust me ila sio kuwa nakulazimisha bali nakuomba