Nauza salon ya kiume 6,000,000/=

yakobo11

yakobo11

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2016
Messages
362
Points
500
Age
47
yakobo11

yakobo11

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2016
362 500
Jamani hii SALON ina vitu vifuatavyo ndani ambavyo vinauzwa pamoja na kufanya bei ianzie Mil.6.

1. Ina Viti 2 (vya kunyolea).
2. Ina Machine 2 ( za kimarekani) za kunyolea.
3. Ina sofa mbili za wateja kusubiria kunyoa.
4. Ina Kodi iliyobaki mpaka mwezi wa August,2019.
5. Ina Luku inayojitegemea. Na ukitaka kuondoka nayo utaondoka nayo.
6. Kodi kwa mwezi ni Tzs 150,000/=.
7. Ipo sehemu nzuri sana kwa biashara hiyo maana ni kituoni.

Bei naanzia million 6 , maongezi yapo kwa anayemaanisha. Simu 0739025947
 
dumejm

dumejm

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Messages
728
Points
500
dumejm

dumejm

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2016
728 500

Picha
 
Mahali ilipo!?? Na kwanini uiuze!??
 
yakobo11

yakobo11

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2016
Messages
362
Points
500
Age
47
yakobo11

yakobo11

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2016
362 500
Mahali ilipo!?? Na kwanini uiuze!??
Ipo uwanja wa ndege kituoni kwenye mzunguko wa watu.
Cha kuongezea ndani kuna Radio , ila TV utaweka mwenyewe.
 
E

Ekuweme

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2018
Messages
1,164
Points
2,000
E

Ekuweme

JF-Expert Member
Joined May 28, 2018
1,164 2,000
Ipo uwanja wa ndege kituoni kwenye mzunguko wa watu.
Cha kuongezea ndani kuna Radio , ila TV utaweka mwenyewe.
Uwanja wa Ndege pale Dodoma au Songwe International Airport?
 
yakobo11

yakobo11

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2016
Messages
362
Points
500
Age
47
yakobo11

yakobo11

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2016
362 500
HII SALON IPO HAPA UWANJA WA NDEGE WA DAR ES SALAAM . nyuma ya kituo cha mabasi kama unakwenda mjini jirani na JUMBO.
Uwanja wa Ndege pale Dodoma au Songwe International Airport?
 
yakobo11

yakobo11

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2016
Messages
362
Points
500
Age
47
yakobo11

yakobo11

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2016
362 500
JAMANI HII SALON INA VITU VYA KISASA NA IPO KISASA NA IMEKAMILIKA , WEWE UKIINUNUA UNAINGIA NA KUANZA KUPIGA KAZI TU.

BEI NI RAHISI SANA SHILINGI MIL.6 TU.

Luku ni ya kwako pekee yako.
img-20190509-wa0013-jpeg.1096942
img-20190509-wa0010-jpeg.1096943
img-20190509-wa0011-jpeg.1096944
img-20190509-wa0009-jpeg.1096945
 
yakobo11

yakobo11

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2016
Messages
362
Points
500
Age
47
yakobo11

yakobo11

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2016
362 500
Wahi usichelewe acha maswali kujiuliza uliza bahati ndiyo hii ya kutoka kwako. Mimi nimeshatoka sasa hivi nimeanzisha biashara kubwa zaidi , nasafirisha majongoo bahari marekani.

NUNUA SALON NAWE UTOKE.
 
yakobo11

yakobo11

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2016
Messages
362
Points
500
Age
47
yakobo11

yakobo11

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2016
362 500
yakobo11

yakobo11

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2016
Messages
362
Points
500
Age
47
yakobo11

yakobo11

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2016
362 500
Pesa yako imepungua sema tukufikirie , usikae kimya na mawazo.
Jamani hii SALON ina vitu vifuatavyo ndani ambavyo vinauzwa pamoja na kufanya bei ianzie Mil.6.

1. Ina Viti 2 (vya kunyolea).
2. Ina Machine 2 ( za kimarekani) za kunyolea.
3. Ina sofa mbili za wateja kusubiria kunyoa.
4. Ina Kodi iliyobaki mpaka mwezi wa August,2019.
5. Ina Luku inayojitegemea. Na ukitaka kuondoka nayo utaondoka nayo.
6. Kodi kwa mwezi ni Tzs 150,000/=.
7. Ipo sehemu nzuri sana kwa biashara hiyo maana ni kituoni.

Bei naanzia million 6 , maongezi yapo kwa anayemaanisha. Simu 0739025947
 
yakobo11

yakobo11

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2016
Messages
362
Points
500
Age
47
yakobo11

yakobo11

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2016
362 500
Jamani hii SALON ina vitu vifuatavyo ndani ambavyo vinauzwa pamoja na kufanya bei ianzie Mil.6.

1. Ina Viti 2 (vya kunyolea).
2. Ina Machine 2 ( za kimarekani) za kunyolea.
3. Ina sofa mbili za wateja kusubiria kunyoa.
4. Ina Kodi iliyobaki mpaka mwezi wa August,2019.
5. Ina Luku inayojitegemea. Na ukitaka kuondoka nayo utaondoka nayo.
6. Kodi kwa mwezi ni Tzs 150,000/=.
7. Ipo sehemu nzuri sana kwa biashara hiyo maana ni kituoni.

Bei naanzia million 6 , maongezi yapo kwa anayemaanisha. Simu 0739025947
Tupo hapa kusaidia wana Jamii forum. Kuinuana kimaisha.
 
Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Messages
1,501
Points
2,000
Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined May 15, 2017
1,501 2,000
Jamani hii SALON ina vitu vifuatavyo ndani ambavyo vinauzwa pamoja na kufanya bei ianzie Mil.6.

1. Ina Viti 2 (vya kunyolea).
2. Ina Machine 2 ( za kimarekani) za kunyolea.
3. Ina sofa mbili za wateja kusubiria kunyoa.
4. Ina Kodi iliyobaki mpaka mwezi wa August,2019.
5. Ina Luku inayojitegemea. Na ukitaka kuondoka nayo utaondoka nayo.
6. Kodi kwa mwezi ni Tzs 150,000/=.
7. Ipo sehemu nzuri sana kwa biashara hiyo maana ni kituoni.

Bei naanzia million 6 , maongezi yapo kwa anayemaanisha. Simu 0739025947
Ilikuwa inaingiza sh ngapi kwa siku? Je hiyo M6 nikiwekeza inaweza kurudi baada ya muda gani?
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
46,713
Points
2,000
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
46,713 2,000

Forum statistics

Threads 1,295,911
Members 498,475
Posts 31,227,877
Top