Nauza salon ya kiume 6,000,000/=

Ilikuwa inaingiza sh ngapi kwa siku? Je hiyo M6 nikiwekeza inaweza kurudi baada ya muda gani?
Nilikuwa naingiza shilingi 100,000/= mpaka 115,000/= kwa siku . Siku kama hakuna mauzo sana basi nilikuwa napata 80,000/= mpaka 60,000/= kwa siku.

Uzuri ipo sehemu nzuri kibiashara. Uwanja wa ndege Dar .JNIA.
 
Kama una mashaka ni wewe , acha wengine wajichukulie watengeneze maisha.
Wewe kinakukwaza nini ?

Ambalo halikuhusu pita kimya.
Muuzaji acha munkari, promo zikiwa nyingi wala hautushawishi bali unatupa mashaka
 
Kaka Saint ivuga naomba niongezee laki 3 tu iwe 4.3 nikupe na wewe salon upige pesa.

Sisi Jamii forum ni ndugu. Nipe 4.3 tu tumalize biashara.
Mimi nakaa banana. Hio mil 4 yenyewe nimeiunga unga
Kwa hali ya sasa hio saloon ni nadra sana mtu kukupa 4cash. Hasa hasa watakuja na 3 au 2.5
 
HII SALON IPO HAPA UWANJA WA NDEGE WA DAR ES SALAAM . nyuma ya kituo cha mabasi kama unakwenda mjini jirani na JUMBO.
Mkuu, jirani na Jumbo mbona ni Salon ya kike ? Au ni pale jirani na wanakosimama vijana wanoa-control magari ya mradi wa SGR ? Ingawa chumba hicho sasa hivi ni duka.
 
Mkuu nin
Nilikuwa naingiza shilingi 100,000/= mpaka 115,000/= kwa siku . Siku kama hakuna mauzo sana basi nilikuwa napata 80,000/= mpaka 60,000/= kwa siku.

Uzuri ipo sehemu nzuri kibiashara. Uwanja wa ndege Dar .JNIA.
mkuu ninaomba unipatie miezi mitatu ya mitazamio.nikiwa naingiza hiyo hela uliyosema.ninakupatia milioni kumi. Nipo tayari kuandikiana kuwa MIE napandisha dau. Yaani nikiwa naingiza hela ndogo 50 kwa siku.MIE nakupatia 10M. Trust me ila sio kuwa nakulazimisha bali nakuomba
 
Anatufanya sisi watoto, yaani upate goli la kuingiza 150,000 kwa siku alafu ulipige mnada!?? Jamaa tapeli kiwango cha vumbi
Mkuu nin mkuu ninaomba unipatie miezi mitatu ya mitazamio.nikiwa naingiza hiyo hela uliyosema.ninakupatia milioni kumi. Nipo tayari kuandikiana kuwa MIE napandisha dau. Yaani nikiwa naingiza hela ndogo 50 kwa siku.MIE nakupatia 10M. Trust me ila sio kuwa nakulazimisha bali nakuomba
 
Mkuu ngoja nifikirie nitakupa jibu kwa ombi lako.

Ila ombi lako ni zuri.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom