kaka nihitaji hyo mashne n call 0765075183Tangu nmemaliza chuo maisha magumu hata nmeamua kuuza PROJECTOR Nijikimu.aina yake ni ACER na ina muda mrefu iko poa kabisa.kwa anayeweza kuihitaji tafadhali Contact, 0718247575 nisaidieni jaman ntakufa mjini hapa
Ina masaa mangapi yaliyobaki ya matumizi?
Tangu nmemaliza chuo maisha magumu hata nmeamua kuuza PROJECTOR Nijikimu.aina yake ni ACER na ina muda mrefu iko poa kabisa.kwa anayeweza kuihitaji tafadhali Contact, 0718247575 nisaidieni jaman ntakufa mjini hapa