Nauza, PRADO VX (4X4)

Nauza, PRADO VX (4X4)

Hakuna prado vx..bana kuna prado tx, tz etc sasa inakuaje unauza kitu usichokijua!!!

Kuhusu watanzania kitu ambacho hajakiona anasema hakuna.

Kuna PRADO RZ, RX, RS , RJ 3-door series from japan

Kuna PRADO TZ, TX, TS, TJ. 5-door japan

Kuna PRADO
GX, GXL, Altitude, VX and the high-end Kakadu. Australia, USA

Kuna watanzania wengine ukiwaambia kuna magari aina ya Opel, VW,lamborghini, wanakuambia hakuna, sababu wao wamezoea toyota na mitsubishi.

Sikuja kubishana, wale wanao amini kama zipo na anataka kununua ani contact private, nitamscania mapepa na pic, ucku mwema

Hahahaha. Thio machezo. Hebu kuwa serious nimuambie Paw wangu aninunulie prado mie. Kongosho na snowhite lazma waniloge mwaka huu

kwa bei ya prado $95000 ah lazima niombe kuwa nyumba ndogo ya Paw
lol!nini kukuloga tu! Kongosho enh hapa foursome inahusika i see!twenzetu mlingotini tukafanye mambo!
 
Last edited by a moderator:
Hapa hata udandie mlingoti sijui kama itafaa

Kwani Papa msofe ashatoka selo??

kwa bei ya prado $95000 ah lazima niombe kuwa nyumba ndogo ya Paw
lol!nini kukuloga tu! Kongosho enh hapa foursome inahusika i see!twenzetu mlingotini tukafanye mambo!
 
Kuhusu watanzania kitu ambacho hajakiona anasema hakuna.

Kuna PRADO RZ, RX, RS , RJ 3-door series from japan

Kuna PRADO TZ, TX, TS, TJ. 5-door japan

Kuna PRADO
GX, GXL, Altitude, VX and the high-end Kakadu. Australia, USA

Kuna watanzania wengine ukiwaambia kuna magari aina ya Opel, VW,lamborghini, wanakuambia hakuna, sababu wao wamezoea toyota na mitsubishi.

Sikuja kubishana, wale wanao amini kama zipo na anataka kununua ani contact private, nitamscania mapepa na pic, ucku mwema

Hizo za usa hawaiti prado wala sibishani na wewe nazungumza nacho kifaham za marekani znaitwa gx 470 etc..na inakua na nembo ya luxus..ila kama ni hivyo basi hamna shida..umeona bhana..!!
 
Mkuu unauza bei ndefu atleast ungeweka picha tukaiona hiyo prado vx
 
Kuhusu watanzania kitu ambacho hajakiona anasema hakuna.

Kuna PRADO RZ, RX, RS , RJ 3-door series from japan

Kuna PRADO TZ, TX, TS, TJ. 5-door japan

Kuna PRADO
GX, GXL, Altitude, VX and the high-end Kakadu. Australia, USA

Kuna watanzania wengine ukiwaambia kuna magari aina ya Opel, VW,lamborghini, wanakuambia hakuna, sababu wao wamezoea toyota na mitsubishi.

Sikuja kubishana, wale wanao amini kama zipo na anataka kununua ani contact private, nitamscania mapepa na pic, ucku mwema

nimeliona mkuu hilo prado vx..daaah ndo model za kuanzia 2007 na kuendelea na bei yake inashahibiana na uliyoweka so no worriz..wawekee tu picha raia...
 
hapa inabidi tuwaachie wenye uwezo wao mana mie ambaye hata kibanda sina ni ishu, ila ndo maisha huwa hatufanani wakati we unawaza hata millioni moja mwingine kwake hiyo ni matumizi ya siku moja
anataka kuniogopesha kudunduliza kununua gari!maana kwa kimshahara changu kama magari ndo bei hiyo nisahau tu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom