si ondoi hapa, up 2uOndoa hapa
mhhh subiri tu mafisadi wapo wataku PM
ila hili jukwaa la siasa.
You dont know anything.
Sasa tuambie bei ya prado VX mpya 2013 bei yake?
Unge-edit palepale tu Mkuu!!
Hilo, lako!Mie ndio nilinunua juu ya hapo. ujerumani
Umeambiwa hii inayotangazwa hapa ni Mpya?
Umeambiwa hii inayotangazwa hapa ni ya mwaka 2013?
Nauza, PRADO VX bei ni US dollars 95000, jipya, halijaendeshwa sana.
Hakuna prado vx..bana kuna prado tx, tz etc sasa inakuaje unauza kitu usichokijua!!!
Hakuna prado vx..bana kuna prado tx, tz etc sasa inakuaje unauza kitu usichokijua!!!