Nauza, PRADO VX (4X4)

Nauza, PRADO VX (4X4)

mhhh subiri tu mafisadi wapo wataku PM
ila hili jukwaa la siasa.
 
Nauza, PRADO VX bei ni US dollars 95000, jipya, halijaendeshwa sana.
US$ 95,000 @ Tshs 1,600/$ = Tshs 152Mil
Hili Prado lina nini ndani/nje?
Hii Bei unapata Gari hizihizi kama 3 hivi, na chenji inarudi!!
 
Nauza, PRADO VX bei ni US dollars 95000, jipya, halijaendeshwa sana.
Hivi unafahamu maana ya Brand new, Good used na second hand?

Gari jipya linauzwa likiwa na kilometer zero.
 
Unasema jipya halafu hapa hapo unasema limetumika kidogo.
 
Mie ndio nilinunua juu ya hapo. ujerumani

We labda ulilaliwa bei, but haina maana kua ndio bei yake halisi.
kama uliweza kununua kwa bei hiyo inamaanisha unazo za kutosha, so kaa nalo tu Bi. Mdada!!
 
Nauwezo wa kuagiza Japan mpaka inafika bandarini (CIF) @ $ 30,000, tena inakuwa na kilometa si zaidi ya 25,000. Hebu punguza bei iwapo upo serious, halafu tubandikie picha basi.
 
Mkuu ungesema ya mwaka gani, mileage ngapi, automatic or manual etc. Weka picha basi.
 
We labda ulilaliwa bei, but haina maana kua ndio bei yake halisi.
kama uliweza kununua kwa bei hiyo inamaanisha unazo za kutosha, so kaa nalo tu Bi. Mdada!!

You dont know anything.
Sasa tuambie bei ya prado VX mpya 2013 bei yake?
 
Jipyaa alafu halijaendeshwa sana
 
Ur not seliouse prado 150 M????or ulimaanisha $ 9500?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom