Nauza, PRADO VX (4X4)

Nauza, PRADO VX (4X4)

sicu

Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
69
Reaction score
22
Nauza, PRADO VX bei ni US dollars 95000, jipya, halijaendeshwa sana.
 
"Halijaendeshwa sana", ina maana gani? Toa details za kutosha kuhusu mileage, Ukubwa wa injini, mwaka iliyotengenezwa nk mkuu. Halafu sina uhakika kama hili ni jukwaa stahiki kwa hii posti yako. Vinginevyo utuambia kuuza gari kuna uhusiano na mahusiano, mapenzi na urafiki!
 
C intend kubuy bt nashauri upost jukwaa la matangazo madogo madogo
 
Last edited by a moderator:
Nauza, PRADO VX bei ni US dollars 95000, jipya, halijaendeshwa sana.
 
mkuu nazani hapa sio mahala pake,hapa tunaongelea siasa ....jukwaa la siasa
 
Nauza, PRADO VX bei ni US dollars 95000, jipya, halijaendeshwa sana.

Ndio hilo umeliweka hapo kwenye avata mbona bei gali sana na halilipi kabisa waweza kupunguza bei tufikirie?
 
Nauza, PRADO VX bei ni US dollars 95000, jipya, halijaendeshwa sana.
 
huyo hauzi PRADO VX (4x 4) mnalolijua nyie anauza Nyapu a.k.a K
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom