Nauza pilipili aina ya Nayer's

Kwa wale msiotumia pilipili,sasa tumekuletea bidhaa yetu ya Ukwaju sauce... Yani hii ni [emoji91][emoji91]
Kionjo hiki unaweza kukitumia pembeni ya msosi wako kikakupa ladhà ya pekee pia unaweza kutumia ku(marinate) Hapa unachukua Ukwaju sauce yako unamiminia kuku wako au samaki pamoja na viungo vingine....Yani kama unachoma au unakaanga inakuwa [emoji39][emoji39][emoji39] Tamu balaa.. Karibuni sana.
 
Mungu akiwezesha alhmis ipo mtaani...wa mikoani sijawatenga nicheck 0629565168 nakutumia
 
[emoji120] shukran wakuu wa nje ya Dar...ni msisimko wa kitanzania
 
...ITAPENDEZA SANA Msisimko huu ukiwa nao nyumbani kwako[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Karibuni sana tumeleta Ukwaju sauce, hiki kionjo sio cha kukikosa' yani kinaongeza ladha kwenye mlo wako[emoji39] [emoji39] . Na kwa wapishi wazuri hii unaweza kutumia katika nyama au samaki mbichi kabla hujakaanga au kuchoma ....ni tamu sana wajameni... toa oder yako tutakuletea popote ulipo na mkoani tunatuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…