Street Hawker
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 656
- 1,068
KivuleWapi hii
Yes zipo mkuudocument zote zipo?
Ndiyo mana naiuza bei hiyo mkuu ili kabuleta ukatengeneze mwenyewe, ukiinunua ipeleke kariakoo ndiyo kuna mafundi wa pkpk hizi, mm tatizo nimekwama kipesa na nahitaji hiyo pesa haraka kama sivyo nisingeiuza hii pkpk kwa bei hii, ningetengeneza mwenyewe.Cabureta hii tatizo utasolve wapi?Angekuja mtu kuifata mapema tu kesho isingekua kimeo
😀😀😀😀Kula 150k,
Iko mfuko wa shati kabisa hapa.
sema neno tufanye biashara chap.😀😀😀😀
Sina uzoefu kwenye hilo ila ukishainunua nakushauri uipeleke kkoo pale hukosi spea, niliambiwa haizidi laki 1.Mkuu Street Hawker kwa uzoefu wako hiyo cabulator dukani inagharimu bei gani?
PM yako haiko waziMe nakupa laki 2 kesho asubuhi nipm
Mkuu unakabia juu sana, hata baiskeli ya kueleweka hupati kwa bei hiyo, mm naiuza hii pkpk sio kwa kupenda bali nina shida na hiyo pesa, but hata hivyo siwezi kuiza kama naitupa mana ni asset hii.sema neno tufanye biashara chap.
Inatumia mafuta, haina shida itakaa tu mpaka siku utakapoamua kuifuata lkn karatasi zako za umiliki nitakukabidhiInatumia mafuta au umeme ? Mtu akinunua akaicha kwako mpaka siku akiamua kuichukua utaweza kuitunza kaka ?
Simu yako mbona iko bize sana kiasi nawaza nije na gwanda kabisa ili tusianze habari za kutishianaInatumia mafuta, haina shida itakaa tu mpaka siku utakapoamua kuifuata lkn karatasi zako za umiliki nitakukabidhi
Sawa ndugu ,zama PM weka mawasiliano unayopatikana nikucheki maana namba yako hiyo iko bize muda wote .Inatumia mafuta, haina shida itakaa tu mpaka siku utakapoamua kuifuata lkn karatasi zako za umiliki nitakukabidhi