Iko makini sana hii
Wasiwasi wangu Mwabulambo ni kuwa bara bara zetu za inji hii hazina urafiki na piki piki.
Binafsi nimeendesha sana pikipiki hapa Dar. Nimekoswakoswa mara kadhaa na nishachomekewa kama mara 10 hivi na zote inabidi nitumie akili ya ziada kuokoa jahazi.
Madereva wa magari wa Bongo hawana huruma kabisa na waendesha pikipiki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.