xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,132
- 7,360
Mnatania biashara za watu siyo?? Kirikuu milion tano niletee kumi nikupe cash5M si bei ya gari(kirikuu)
Mnatania biashara za watu siyo?? Kirikuu milion tano niletee kumi nikupe cash5M si bei ya gari(kirikuu)
Muulize muuzajihapa nilipo nikianza safari kwa mguu dakika 80 nakuwa rwanda. nitajie tu mtaa iliko niisogeze utaikuta benaco mkuu!
Vp ile mishe ya shamba ulifanikishaMnatania biashara za watu siyo?? Kirikuu milion tano niletee kumi nikupe cash
Kuna mahali nipo kwa sasa nahangaikia hii kitu ila hatua nzur nilipofikiaVp ile mishe ya shamba ulifanikisha
Dukani Dar huwezi kupata hizo trail 110 kwa 1.8m ndugu. Ni kuanzia 6m kwenda juu. Hizo sio Fekon, Sanlg wala Kinglion1.8 ndo bei yake dukani mkuu sa unauzaje na bei hiyo? Its mile age?
Niunganishe mkuu naitaj piaKuna mahali nipo kwa sasa nahangaikia hii kitu ila hatua nzur nilipofikia
Tuombe uzimaNiunganishe mkuu naitaj pia
Kula 1.1.Salaam wadau..ninauza pikipiki aina ya Honda 110 ya japan orijino.Iko vizuri kabisa.Bei 1.8m maongezi yapo.Karibuni.Kwa mawasiliano 0689900000View attachment 519293View attachment 519294View attachment 519295