Nauza paka na watoto wake!

Kwanini uuze wote kama wana mafunzo....uliwafundisha wanini kama hutaki kuishi nao bro
Nauza jike na vitoto vyake vinne,mi nabaki na dume,garama za matunzo zimenishinda
 
Wakuu nauza paka na watoto wake 4,kama utahitaji na panya wa kuanzia ntakupatia bure! Nichek pm
Acha uhun bas baba yao na vitoto yupo wap? Ukimpata ntawachukua wote
 
Siku hizi Paka na Panya hawana uadui tena, ni marafiki. Labda kama unauza wa maonyesho.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…