Nauza nyama ya kitimoto

Nauza nyama ya kitimoto

mac muga

Senior Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
119
Reaction score
163
Natarajia kuchinja nguruwe wangu watatu nauza nyama jumla na reja reja kwa siku ya kesho,nikipata Wateja jumla itakua vizuri,kilo shilingi 6500.wapo Tabata segerea.napokea order mbali mbali,Mzigo unakufikia popote.karibuni sana
 
natarajia kuchinja nguruwe wangu watatu,,nauza nyama jumla na reja reja kwa siku ya kesho,nikipata Wateja jumla itakua vizuri,kilo shilingi 6500.wapo Tabata segerea.napokea order mbali mbali,Mzigo unakufikia popote.karibuni sana
Jumla ni kuanzia kilo ngapi?
 
Duuh nipo mkoan ningechukua kilo tano hiyo kitu naipenda Sana
 
Back
Top Bottom