okey boss ,nakutumia[
Aliepata kitimoto atujuze jaman
sawa boss nimekucheki pm na namba pianimekucheki pm. ingependeza zaidi ww muuzaji ndo uweke no ya simu maana wasiojukikana wasije wakawa wanamtafuta mtu wao humu kwa chambo ya kitimoto hii chambo tamu.