Nauza Nta (Beeswax)

Nauza Nta (Beeswax)

Unaweza Uliza swali lolote kuhusu Matumizi ya Nta au jinsi inavyopatikana

  • Nta inatumika kwenye kutengeneza vipodozi

    Votes: 1 100.0%
  • Nta inatumika kutengeneza batiki

    Votes: 0 0.0%
  • Nta inatumika kutengeneza Chaki

    Votes: 0 0.0%
  • Nta inatumika kutengeneza sabuni

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    1

Rouben Mtuy

New Member
Joined
Jul 4, 2025
Posts
3
Reaction score
3
Wakuu nauza Nta (Beeswax) inayopatikana baada ya kuchakata asali ya nyuki wakubwa.
Nta iko vizuri niya Mwaka huu.
Niko Tabora, niko na Tani moja, ila kama utahitaji zaidi uwezekano upo wa kupata zaidi ya hapo.
1kg nauza 13,000/=.
Kama wewe ni mnunuzi au wafahamu Mnunuzi please Njoo inbox tuzungumze.
 
Weka picha ya Nta
IMG_2819.jpeg
 
Back
Top Bottom