Nauza nokia N900 ina OS mbili za Android Gingerbread na Maemo

Chantaburi

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
749
194
Kwa kifupi simu yangu nilitaka kuiuza ila nilibadili mawazo baada ya kuinstall Android ikawa ina os mbili ya maemo na Android gingerbread ila kwa sasa nina uhitaji wa hela nimelazimika kuiweka sokoni.
Kwa ufupi iko fiti niliinunua mwaka jana
 
Back
Top Bottom