Mkuu kwanini mnatuletea simu feki? Nimenunua simu kwako kwa ajili ya kumtumia mtu safari, battery haikai na charge alafu simu baada ya muda ukimpigia inakoroma tu.Bei ya Jumla:
- TZS 19,000 kuanzia pcs 5
- TZS 18,000 kuanzia pcs 10
- Bei ya Rejareja: TZS 24,000/=
Sifa:
- Brand new
- Betri 1000mAh
Mawasiliano:
- +255 682 697 124
- Instagram: Mrnokia_Tz
- Facebook: Mrnokia_Tz
- TikTok: Mrnokia_Tz
Delivery:
- Tunatuma mikoani 🚚
- Gharama za delivery ziko juu ya mteja
Laini ngapi?OFFER 🔥OFFER
Samsung B310 ORIGINAL
Earphone,Charge
Fm Radio
jumla Tsh25,000 kuaniza pc3
Rejareja Tsh32,000/=
Brand: new
Batter: 1000mAh
Cont:+255682697124
Delivery: 🚚 Ipo Mikoani tunatuma✅
Mikoani malipo baada ya kupokea mzigo
Delivery juu ya mteja
NOKIA 105(2023)
Jumla:Tsh24,000kuanzia pc5
RejaReja:Tsh30,000/=
Fm radion wirless
Brand:New
Battery:1000mAh
Laini mbili
Siku hizi kupata Nokia original imekuwa kazi sana. Hizi za sasa uki save namba ya mtu na jina lake halafu akakutumia sms. Ukifungua sms unakuta namba tu jina lake halipo. Nyingi hazina vibration kama zile za zamani.Ni original NOKIA ama copy kama zile za Zanzibar?