NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,291
- 14,573
ZINAKUJA NA CHAJA NA HEAD PHONE?!!!Laini mbili
ZINAKUJA NA CHAJA NA HEAD PHONE?!!!Laini mbili
Mkuu punguza nichukue PC 20Hapana zina chaji tu
rudia kusoma tena hapo juu ameweka maelezo mengi ikiwemo swali ulilouliza.Mkuu bei ya jumla inaanzia pisi ngapi
Sahihi mkuu nilikuwa sijaweka umakini ktk hili 👏👏👏rudia kusoma tena hapo juu ameweka maelezo mengi ikiwemo swali ulilouliza.
Ok asante boss ntakuchekNi og boss wangu