Nauza nissan xtrail mil9.5

Nauza nissan xtrail mil9.5

Huyu mmiliki wa hii gari ni mwanamke anafanya kazi TRA. Ofisini amesema analiuza gari hiki kwa milioni 7. Kampa dalali naye kapandisha bei mpaka milioni 9.5.
Kwa bei hiyo hawezi kuuza gari hilo.

namba BTD ni usajili wa mwaka 2012,tafsiri yake ushaitumia si chini ya miaka mitano!
Ushauri;
- Extrail ni moja ya magari yaliyopoteza sana thamani kwa miaka ya karibuni kutokana na matatizo yaliyokuwa nayo(kuchemsha).
- sasa ivi ukiagiza kwa gari kama hyo yako yenye km's kama hizo basi bei yake haitazidi mil.10 yaani ni kama hyo unayotaka kuuza.
- Unaweza kuliuza but sio kwa bei hyo unless otherwise umekutana na mtu asiye na ufahamu wa magari
- Shusha bei ifike hadi mil.6, nakueleza ukweli tu wala sijadharau gati yako ila ukweli ni kuwa gari za Nissan imiongozwa na Extrail kwa sasa hazina thamani

Kama hujaelewa ni vizuri kuuliza na sio kukurupuka. hapa hatuzungumzii bei, utanazungumzia liability ya hizi gari
jifunze kusoma na kuelewa ulichosoma, ubishi na ujuaji wako havitakusaidia.
 
Kumuelewesha mjinga ni kazi kubwa sana. Hivi nikufanyeje ili uelewe?
Hebu tafuta commenti zangu zilipoanzia ndio urudi uangalie ushuzi unao andika hapa
 
Nimetumia Nissan X-trail huu ni mwaka wa tatu sasa, na naweza kuwahakikishia ni gari nzuri sana. Ni low maintanance, na ukilitunza vizuri utadumu nalo. Tatizo la bongo ni kwamba mafundi wazuri wa Nissan ni wachache, wengi wamezoea Toyota. Wanaweza kukuharibia gari kama na wewe hujui kutafuta information. Gari yangu iliwahi kuharibika sensor ikawa inajizima nikisimama, nikauliza baadhi ya mafundi wa mtaani...mwingine akawa anadai tushushe gear box, mwingine engine, mwingine tubadilishe control box...kumbe hawajui kitu. Nikaingia google nikaandika hilo tatizo nikapata jibu kwamba ni sensor. Nikaenda CFA motors, pale nilimpata fundi wa Nissan akanielekeza kwenye gereji yake mtaani. Haikuchukua dakika kumi kubadilisha hiyo sensor, gharama 100,000 tu, na sasa ni miaka mitatu gari haijawahi kuguswa na fundi. Najitahidi sana kutafuta information mtandaoni kabla sijamuita fundi. Hivi karibuni gari ilikuwa inamiss, na inawaka kwa shida...nikaingia google nikagundua chanzo moja wapo ni plug. Nimebadilisha plug tatizo limeisha. Sasa binafsi siwezi kununua gari mkononi kwa mtu bila kujali aina, maana siwezi kujua alikuwa analitunza vipi. Ila kama matunzo ni mazuri X-trail ni gari mmoja nzuri sana.
 
Hiyo Nissan X-trail yako ni tofauti na hii anayoiuza huyu mkuu. Hii yake ni kimeo. Hamba gari hapo.....
Labda kama mtu anunue halafu ageuze banda la kuchezea watoto.
 
Tatizo mnakuwa mnasikiliza mambo ya watu amabao utakuta pengine hata baiskeli hawana. Nina Nissan Ex-trail Manual, imemaliza Mwaka mzima sasa lakini haijawahi kuguswa na fundi yeyote. gari ni matunzo tu
Mimi mwenyewe nimebaki nimeduwaa, hata Mimi Nina Nissan xtrail 2005 inaingia mwaka wa pili sasa nasukuma ndinga bila tatizo lolote... service tuu ndo nafanya na hii gari iko more comfortable kuliko hata rav 4. sasa sielewi wabongo wana ugonjwa na toyota au gari isipokuwa toyota ni bovu. acheni ushamba hizo ni roho za kimaskini.
 
Toyota toyota toyotaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Hiyo Nissan X-trail yako ni tofauti na hii anayoiuza huyu mkuu. Hii yake ni kimeo. Hamba gari hapo.....
Labda kama mtu anunue halafu ageuze banda la kuchezea watoto.
Naomba namba za fundi wako wa Nissan, ninayo nissan xtrail. Kuna issue nataka anisaidie
 
Mimi mwenyewe nimebaki nimeduwaa, hata Mimi Nina Nissan xtrail 2005 inaingia mwaka wa pili sasa nasukuma ndinga bila tatizo lolote... service tuu ndo nafanya na hii gari iko more comfortable kuliko hata rav 4. sasa sielewi wabongo wana ugonjwa na toyota au gari isipokuwa toyota ni bovu. acheni ushamba hizo ni roho za kimaskini.
Wanaogopa bei za spea alafu wanasingizia kuwa gari haifai. alafu wanaopinga hawajawahi hata kuwanayo
 
....teh hee hee
.we mporipori kakwambia nani mimi wa Dar,
.au unawashwawashwa!
Sijui hapa mimi na wewe nani mporipori na ni nani anawashwawahswa. watu kam nyie ndio mnatatuliwa marinda kwa kushobokea vitu visivyo wahusu.

Hivi kwanza unagari au baiskeli?
 
....hahahahaha.
...mimi hata miguu sina,
..vipi babaako ana hata baiskeli?
 
namba BTD ni usajili wa mwaka 2012,tafsiri yake ushaitumia si chini ya miaka mitano!
Ushauri;
- Extrail ni moja ya magari yaliyopoteza sana thamani kwa miaka ya karibuni kutokana na matatizo yaliyokuwa nayo(kuchemsha).
- sasa ivi ukiagiza kwa gari kama hyo yako yenye km's kama hizo basi bei yake haitazidi mil.10 yaani ni kama hyo unayotaka kuuza.
- Unaweza kuliuza but sio kwa bei hyo unless otherwise umekutana na mtu asiye na ufahamu wa magari
- Shusha bei ifike hadi mil.6, nakueleza ukweli tu wala sijadharau gati yako ila ukweli ni kuwa gari za Nissan imiongozwa na Extrail kwa sasa hazina thamani
Ya 2010 hiyo mkuu
 
Tatizo mnakuwa mnasikiliza mambo ya watu amabao utakuta pengine hata baiskeli hawana. Nina Nissan Ex-trail Manual, imemaliza Mwaka mzima sasa lakini haijawahi kuguswa na fundi yeyote. gari ni matunzo tu
Muizaji umekuja kivinginee
 
namba BTD ni usajili wa mwaka 2012,tafsiri yake ushaitumia si chini ya miaka mitano!
Ushauri;
- Extrail ni moja ya magari yaliyopoteza sana thamani kwa miaka ya karibuni kutokana na matatizo yaliyokuwa nayo(kuchemsha).
- sasa ivi ukiagiza kwa gari kama hyo yako yenye km's kama hizo basi bei yake haitazidi mil.10 yaani ni kama hyo unayotaka kuuza.
- Unaweza kuliuza but sio kwa bei hyo unless otherwise umekutana na mtu asiye na ufahamu wa magari
- Shusha bei ifike hadi mil.6, nakueleza ukweli tu wala sijadharau gati yako ila ukweli ni kuwa gari za Nissan imiongozwa na Extrail kwa sasa hazina thamani
Umeongea ukwel mwing lakin hiyo ya kusema gari zinachemsha ni uongo mtakatifu. Gari yeyote huwa inashuka bei ikishazoeleka sokoni, alphard inavotoka ilikua haigusik ila sa hv hata kwa million 13 u anaipata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom