Nauza nissan xtrail mil9.5

Nauza nissan xtrail mil9.5

Ni kweli usemavyo....Xtrail haziuziki .....watu wenye kujua magari, wanasema ukininunua, ujue umeumia
Tatizo mnakuwa mnasikiliza mambo ya watu amabao utakuta pengine hata baiskeli hawana. Nina Nissan Ex-trail Manual, imemaliza Mwaka mzima sasa lakini haijawahi kuguswa na fundi yeyote. gari ni matunzo tu
 
Mbona wengi mnaiogopa? Au ndio ile iliyo husika na watu wasiojulikana. Nunueni jamani mwenzetu anauza
 
Tatizo mnakuwa mnasikiliza mambo ya watu amabao utakuta pengine hata baiskeli hawana. Nina Nissan Ex-trail Manual, imemaliza Mwaka mzima sasa lakini haijawahi kuguswa na fundi yeyote. gari ni matunzo tu
subiri tu, muda ndio mwalimu! extrail sio gari ya kuweka dhamana kiasi hcho aisee , utaimba!
 
namba BTD ni usajili wa mwaka 2012,tafsiri yake ushaitumia si chini ya miaka mitano!
Ushauri;
- Extrail ni moja ya magari yaliyopoteza sana thamani kwa miaka ya karibuni kutokana na matatizo yaliyokuwa nayo(kuchemsha).
- sasa ivi ukiagiza kwa gari kama hyo yako yenye km's kama hizo basi bei yake haitazidi mil.10 yaani ni kama hyo unayotaka kuuza.
- Unaweza kuliuza but sio kwa bei hyo unless otherwise umekutana na mtu asiye na ufahamu wa magari
- Shusha bei ifike hadi mil.6, nakueleza ukweli tu wala sijadharau gati yako ila ukweli ni kuwa gari za Nissan imiongozwa na Extrail kwa sasa hazina thamani
Huyu mmiliki wa hii gari ni mwanamke anafanya kazi TRA. Ofisini amesema analiuza gari hiki kwa milioni 7. Kampa dalali naye kapandisha bei mpaka milioni 9.5.
Kwa bei hiyo hawezi kuuza gari hilo.
 
....teh hee hee,
..hiyo inaitwa ukiwa muongo uwe na kumbukumbu!
hebu thibitisha uongo wangu uko wapi?
alie kuambia niko Dar ni nani?
ukiwa na gari uwezi kukodi?

unajifanya msani ndani ya jumba la sanaa.

acha kufikiria kwa kutumia matope wewe.
 
namba BTD ni usajili wa mwaka 2012,tafsiri yake ushaitumia si chini ya miaka mitano!
Ushauri;
- Extrail ni moja ya magari yaliyopoteza sana thamani kwa miaka ya karibuni kutokana na matatizo yaliyokuwa nayo(kuchemsha).
- sasa ivi ukiagiza kwa gari kama hyo yako yenye km's kama hizo basi bei yake haitazidi mil.10 yaani ni kama hyo unayotaka kuuza.
- Unaweza kuliuza but sio kwa bei hyo unless otherwise umekutana na mtu asiye na ufahamu wa magari
- Shusha bei ifike hadi mil.6, nakueleza ukweli tu wala sijadharau gati yako ila ukweli ni kuwa gari za Nissan imiongozwa na Extrail kwa sasa hazina thamani
Yaani mpaka utajikuta unavisha engine ya Rav4 humo.hzi gari ni igonjwa wa moyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom