GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 20,060
Kamata mwizi meeenHuyu mmiliki wa hii gari ni mwanamke anafanya kazi TRA. Ofisini amesema analiuza gari hiki kwa milioni 7. Kampa dalali naye kapandisha bei mpaka milioni 9.5.
Kwa bei hiyo hawezi kuuza gari hilo.