Car4Sale Nauza Nissan Dualis (EGY) TZS. 15.5m

Kwahyo mtazamo wako na udereva wako wa kujifunza ndio umekwambia kupaki Dualis ni changamoto? Gari ya watu wa5 ni mini bus, ist inabeba watu wangapi? Nayo ni mini bus?
Ama gari yako wewe inabeba watu wangapi mzee? Labda tuanzie hapo
.
Kuhusu kulipuka, kwahyo unabeba stori za watu huko ambazo huwezi kuzithibitisha unaleta kwenye biashara yangu au sio?
Kumbe wewe ndio muuzaji? Sijaangalia jina mkuu!!! Mambo ya IST yanafuata nini?? kwani hizo ni gari au bajaji??? Umekuwa mkali, ueleze uma hapa changamoto zake,weka picha ya gari bei ndio kuuza, sasa wewe unataja aina ya gari tu ndio biashara gani hiyo??? Uzoefu wangu wabongo sio wakweli,kununuwa kitu toka kwao asilimia kubwa ni gunia la misumali. Usichukie mtani weka picha ya chuma hapa na bei maelezo umekaa nayo mda gani umeagiza au na wewe umenunuwa kwamtu....
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Wacha nikuache na ujinga wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom