Nauza nguruwe jike lenye mimba

Nauza nguruwe jike lenye mimba

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,314
Salaam Sana wakuu.
Nauza Hilo jike Bei ya kutupa ths laki 6 ila amepandwa Kama week 2 zimeisha .

Hiyo Ni zile mbegu ndefu Kama unavyomuona .

Mahali alipo Ni kiluvya gogoni dsm

Picha Zaid tuwasiliane what's up 07554040226

Uje umuone uongee
 
PichaView attachment 2046067
IMG_20211216_120438_236.jpg
 
Wadau mbona fujo kwenye Biashara za Watu....

Nikirudi kwenye mada husika..., Kwanini Unamuuza ? Na wale wanaohoji Bei, kwani bei ya Soko ni Ngapi ?
 
9
Salaam Sana wakuu.
Nauza Hilo jike Bei ya kutupa ths laki 6 ila amepandwa Kama week 2 zimeisha .

Hiyo Ni zile mbegu ndefu Kama unavyomuona .

Mahali alipo Ni kiluvya gogoni dsm

Picha Zaid tuwasiliane what's up 07554040226

Uje umuone uongee
Kauze pale karibu na malango wa msikiti mweupe pale utapata wateja wa bei kali🥰😇🤣
 
Wadau mbona fujo kwenye Biashara za Watu....

Nikirudi kwenye mada husika..., Kwanini Unamuuza ? Na wale wanaohoji Bei, kwani bei ya Soko ni Ngapi ?
Mkuu Hawa wote Ni vana vyuo wanangoja pesa za boom na wengine Ni watoto wa mama mchana anatunikiwa chakula kwenye kawa ...

Nikirudi kwenye mada huyo nguruwe namuuza kwasababu ya kuhitaji pesa niimarishe ufugaji wa broilers japo sehemu ya pesa nitanunulia vitoto vya nguruwe maana Banda la nguruwe lipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom