Nauza ndoo nyeupe za lita 10 elfu 3

Nauza ndoo nyeupe za lita 10 elfu 3

Hakuna popote aliposema ni ndoo kumi, wala hajarekebisha popote, huu uzi mimi ni kati ya wa kwanza kuuona na ku comment.
Alichosema ni ndoo za lita 10 (ndoo ndogo), labda hii ndio ulidhani ni idadi badala ya size
mods walirekebisha heading wakakosea wao mkuu bora unitetee
 
Elfu 3 ni ela ndefu sana hats huk kigoma chocho kabisa ni buk 3 punguza bei utapata Wateja
 
Kwa bei hiyo wewe hifadhia maji tu...mtaani watu wananunua mpaka 1500 labda upeleke kigoma, Geita , Sumbawanga au songea ndo waweza uza kwa 3,000
 
Hakuna popote aliposema ni ndoo kumi, wala hajarekebisha popote, huu uzi mimi ni kati ya wa kwanza kuuona na ku comment.
Alichosema ni ndoo za lita 10 (ndoo ndogo), labda hii ndio ulidhani ni idadi badala ya size
usipinge angalia kichwa cha habari elfu 300 ni laki tatu mkuu
 
wewe unataka kwa sh ngapi mkuu
We weka bei nzur coz hats madukan bei ya rejareja ni buk3 mm siwezi kununua haziwezi kunilipa so we shusha bei utapata Wateja wengi walio jaribu zaidi
Wish u all the best
 
Back
Top Bottom