NaimaOmari
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 801
- 46
mambo mengine yanatisha jamani
Kitu gani tean na huyo Pakashume uchawi?Mkuu Mbuzi Mzee?Mkuu mie nataka Paka Shume, nashina naye kwa kitu flani
Kitu gani tean na huyo Pakashume uchawi?Mkuu Mbuzi Mzee?
Ningelikuwa bongo ningeweza kukutafutia lakini bahati mbay sipo bongo mkuu Mbuzi MzeeHa ha ha ha, Maalim Mzizi, wee acha tu, Nitafutie Paka Shume mie,
Ni Uongo mtupu imani potufu usiamini kabisa Paka ni kiumbe tu kama viumbe wengine aliowaumba Mungu Ndahani hakuna cha kutumiwa na wachawi wala nini ni imani potufu tulizozikuta toka kwa wazazi wetu mkuu.nilisikia yule jirani anawatumia kuwanga when I was a kid. That has not changed till today
Ni Uongo mtupu imani potufu usiamini kabisa Paka ni kiumbe tu kam viumbe wengine aliowaumba Mungu Ndahani hakuna cha kutumiwa na wachawi wala nini ni imani potufu tulizozikuta toka kwa wazazi wetu mkuu.
Kumbe Mradi mzuri sana kwa hawa ndugu zetu wa kichina na Wa Nigeria wanapenda sana kula hao Mapaka kisugujira itabidi niwatafute wawe ni wengi ili niweze kutajirika na huo mradi unasemaje mkuu?Umebuni mradi mzuri kwa sababu kwa hivi sasa wateja wake(wachina) wapo hapa Bongo.Si unajua tena Paka na Mbwa ni deal kwa wachina.Lakini usije shangaa ukiitwa kigagula na jirani zako.
ni chuki tu Binadamu hakosi sababu akichukia kitu Mkuu NdahaniMwingine alikuwa anasema paka amekunya kwenye unga wa ugali halafu akafukia uchafu wake kwa unga bila kugundua
Ikifika usiku hao Mapaka wanaswali ndani ya hilo kanisa lao Mkuu philipo kidwanga hichi kibabu ni kigagula.............sasa usiku wakilia inakuwaje,halafu naona kama wana kanisa sio mwanga huyu babu.
Serikali gani Serikali ya Mafisadi au Serikali ya Amerika?Mkuu Las Mas BobosNdugu zangu waliopelekwa MABWEPANDE baada ya mafuriko watatamani kuwa nyau ili wahamie kwenye nyumba za maana. Yaani serikali inazidiwa na huyu bwana
i hate mnyama wa aina yoyote! sitaki inzi, mbu, mende, paka, kuku, bata, mbuzi cjui ng'ombe cjui mbwa, cjui nn!? cju makitu ganii! nachukiaaaaaaaaaaaaaa! ctak hata kuwa karibu yao wala kuyaona! yaani huwa nina vita na madudu kwa ujumla! nimeona hayo mapaka hapo nimesisimkwa mwili! tufiakwa!
Yaani simpendi mdudu huyo ni basi tu
BAK, si ungewastua wenzio jamani? Labda na wao hawakujua?
For some reason (sio ya kuogopa uchawi) siwezi kufuga paka. Ila paka asie na discipline kama huyo mpanda mezani maana yake ni hatunzwi vizuri.
Hilo la kuwaambia wenyeji hata akilini halikunijia kabisa. Ukiwa na mapaka ndani ya nyumba basi ni lazima uhakikishe vyakula huachi wazi hata kwa sekunde chache, vinginevyo lazima yatadokoa tu.