Nauza miwani original kutoka italy

Nauza miwani original kutoka italy

KABAKA28

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
211
Reaction score
229
Hellow...
Juzi nimeenda kumtembelea anko wakati wa siku kuu ya christmass, wakati ananiaga amenipa box limejaa miwani.
Binafsi sio mpenzi wa miwani watu wamenishauri niwauzie wale wauzaji wa miwani ya macho kwa ajiri ya frem, wengine wamenishauri niuze kama urembo
Mwenye uhitaji wa frem au muwani ani PM tufanye biashara.

NB: Kuna miwani zaidi ya 50 size na aina mbalimbali.
7355605977c579fb1184d96266f6e6f1.jpg
IMG-20171231-WA0009.jpg
IMG-20171231-WA0007.jpg
IMG-20171231-WA0008.jpg
 
Kuna jamaa yuko pemben hapa anasema et umeona biashara ya miwan haitok so kabla mwaka kuisha umeona uzipige tuu online,...kiukwel mi nkasema ,daah miwan kali.
 
Weka picha za kutosha nahitaj frem kali ya kiume, ingekua vema ukataja na bei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom