Tunauza feni nzur za kuchage na umeme

madindigwa

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
2,453
2,849
Tunauza feni za kuchage pia zinatumia umeme Zina redio USB bloototh ziko vr kwa matumizi ya yumbani na oficn zinakaa masaa6 bila kutumia umeme unaweza kuichage tupo kariakor mtaa wa msimbaz kwa mawasiliano piga no 071252520/0785970087 bei ni 75000/tuu
IMG_20210914_073153_284.jpg
 
Mimi nikiona tangazo ya bidhaa bila bei natafsiri kama ni utapeli tu. Kama unauza kwa nini usiweke bei? Nikitaja nitakuja mwenyewe kariakoo kutafuta kwenye madua ya vifaa vya umeme
 
Mimi nikiona tangazo ya bidhaa bila bei natafsiri kama ni utapeli tu. Kama unauza kwa nini usiweke bei? Nikitaja nitakuja mwenyewe kariakoo kutafuta kwenye madua ya vifaa vya umeme
Una uhakika tangazo halina bei?
 
Aisee teknolojia inaenda kasi sana diih!

sasa sisi wasukuma wa kahama tutaipataje
Hapana amesema ina radio kama hizi sub woofer za siku hizi unaweza kupiga mziki kutoka kwenye simu via bluetooth mazee, nyie wasukuma muwe mnasoma neno kwa neno
 
Back
Top Bottom