Nauza migebuka jumla na rejareja

byongo

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
827
1,944
Habari zenu..
Nauza samaki aina ya migebuka kwa jumla na rejareja..
Naweza kukuletea ulipo kulingana na idadi ya samaki utakaochukua..
Kuna wa mafungu na kuna mmoja mmoja.
Bei ya mafungu ni 2000.. Na mmoja mmoja bei inaanzia 1000 mpaka 2500 kwa mmoja.
Nipo Dar Es Salaam na napatikana kwa namba 0693255995 (kwa maongezi ya biashara TU)

093ba2a521d933e59d9b0bd06ad41380.jpg

42507c26162e0c2d050a663f90929e83.jpg

IMG_20170111_114131_885.jpg
 
Back
Top Bottom