Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,250
- 2,162
Yaan kumbe wewe unawajua haswaa..migebuka kwa kisamvu afu kiungwe Nazi..hatareee[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Nawajuwa vizuri kabisaaa maana ndio nyumbani huko Ujiji nilipotokea so ndio vyakula vyetu hivyo na ugali wa muhogondio maana nikauliza kama unawabichi pia nyumbani ni nyumbani tu huwezi sahau asilia....