Reina princess
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 1,322
- 1,503
Duh huwa nasikia hilo neno 'migebuka' lakini sikuwahi kufahamu kuwa ni aina ya samaki.
Asante kunitoa tongotongo maana picha ambayo nilikuwa naijenga nilipokuwa nasikia neno migebuka.... Mungu anajua
Asante kunitoa tongotongo maana picha ambayo nilikuwa naijenga nilipokuwa nasikia neno migebuka.... Mungu anajua