SOFTWARE Nauza mfumo utakaokusaidia kutunza kumbukumbu za mauzo na manunuzi hata kama upo mbali na biashara yako

Ndo wale wanaoharibu biashara, na bila shaka huyu ni dalali tu.
-maelezo yanajirudia tu.
-huo mfumo wa online,wa ngapi wana uwezo wa internet full time! Si ile yetu ya 110,000?
-Ni kitu gani hapo kinachoweza kukuvutia kuitumia? Si kwamba ni mbaya,ila maelezo hayajitoshelezi.
-kwa 150,000 kwa mwaka,umehost wapi? Muuzaji atabaki na nini?

Hii kitu wahindi wa Medeil,mpaka leo hawana mpinzani. Lakini kosa kubwa walilofanya,ni kama hilo.
Watu hawana mda na mambo hayo, na wewe una ujuzi wako. Unalazimika kuwachimba mpaka wakuelewe,ndo uuze. Sasa,ni kama vile: unanunua hununui!?
hata sijakuelewa mkuu
point yako ni nini?
 
FedhaBook: Mfumo wa kusimamia hesabu za biashara yako hata kama upo mbali na biashara yako
View attachment 2981009
Okoa muda na kujichosha kupiga mahesabu kwa kichwa na kalamu na daftari na uutumie muda huo kufanya mambo mengine binafsi na ya kimaendelea au ya kifamilia

Ni mambo gani unaweza kuyafanya ukiwa na mfumo wa fedhabook hata kama ni mjasiriamali mdogo.
View attachment 2981010
1.Utatunza kumbukumbu zote za manunuzi ya bidhaa zako

2. Msimamizi wako uliyemuweka atatunza taarifa zote za mauzo aliyofanya siku husika
View attachment 2981011
3.Kama unafanya biashara kwa bei za jumla na rejareja pia mfumo utakuruhusu kufanya hivyo

4.Utatunza gharama zingine zote za kimatumizi ndani ya biashara yako kama vile umeme, pango, kodi, usafiri n.k
View attachment 2981012
5.Utaweza ku control matumizi ya mfumo kulingana na majukumu unayomkabidhi mtu.
kama ni mtu wa mauzo basi kwenye system ataona sehemu ya mauzo tu na sio mambo mengine

6.Utaweza kuprint risiti ikiwa utahitaji mfumo ufanye hivyo

7.System yenyewe sasa itakusaidia kuchakata taarifa zako na kukuonesha faida uliyoingiza kwa siku, wiki, mwezi n.k

8.System utakuonesha bidhaa zilizobaki, bidhaa zinazoelekea ku expire, na bidhaa zilizoisha kabisa.

9.System itakuonesha bidhaa ipi inakuletea faida zaidi ya bidhaa nyingine.

10.System itakuwezesha kusimamia biashara zaidi ya moja na hata kama utahitaji kuhamisha biadhaa kutoka ofisi moja kwenda nyingine itawezekana ndani ya system.

11.Kwakuwa system ni ya online huhitaji kutembelea ofisi zako kwa ajili ya mahesabu.Utaweza kujua kila kinachoendelea katika biashara yako popote utakapokuwa katika dunia hii.

Mfumo huu utaweza kuupata kwa gharama ya Tsh 150,000 tu.

Fedhabook Tanzania
www.fedhabook.com
0677 818283
Hongera sana, umetumia language zipi mkuu (backend) na Frontend ??
 
php and laravel
php and laravel
Safi sana Master, pia ukiwa free, tumia Angular Material Framework ya Javascript as Front End na Oracle au sql server As Data Files storage, na NodeJs au C# as middleware kati ya Frontendna Backend. Ulishawahi kutumia mfumo wa ERMS au MAJIIS mifumo ya eGa utaona ninachomaanisha. Nchii hii kuna Vijana wanaweza na wanajua katika masuala la Coding... Kila la heri Master.
 
Safi sana Master, pia ukiwa free, tumia Angular Material Framework ya Javascript as Front End na Oracle au sql server As Data Files storage, na NodeJs au C# as middleware kati ya Frontendna Backend. Ulishawahi kutumia mfumo wa ERMS au MAJIIS mifumo ya eGa utaona ninachomaanisha. Nchii hii kuna Vijana wanaweza na wanajua katika masuala la Coding... Kila la heri Master.
shukrani
 
Back
Top Bottom