SOFTWARE Nauza mfumo utakaokusaidia kutunza kumbukumbu za mauzo na manunuzi hata kama upo mbali na biashara yako

FedhaBook: Mfumo wa kusimamia hesabu za biashara yako hata kama upo mbali na biashara yako
View attachment 2981009
Okoa muda na kujichosha kupiga mahesabu kwa kichwa na kalamu na daftari na uutumie muda huo kufanya mambo mengine binafsi na ya kimaendelea au ya kifamilia

Ni mambo gani unaweza kuyafanya ukiwa na mfumo wa fedhabook hata kama ni mjasiriamali mdogo.
View attachment 2981010
1.Utatunza kumbukumbu zote za manunuzi ya bidhaa zako

2. Msimamizi wako uliyemuweka atatunza taarifa zote za mauzo aliyofanya siku husika
View attachment 2981011
3.Kama unafanya biashara kwa bei za jumla na rejareja pia mfumo utakuruhusu kufanya hivyo

4.Utatunza gharama zingine zote za kimatumizi ndani ya biashara yako kama vile umeme, pango, kodi, usafiri n.k
View attachment 2981012
5.Utaweza ku control matumizi ya mfumo kulingana na majukumu unayomkabidhi mtu.
kama ni mtu wa mauzo basi kwenye system ataona sehemu ya mauzo tu na sio mambo mengine

6.Utaweza kuprint risiti ikiwa utahitaji mfumo ufanye hivyo

7.System yenyewe sasa itakusaidia kuchakata taarifa zako na kukuonesha faida uliyoingiza kwa siku, wiki, mwezi n.k

8.System utakuonesha bidhaa zilizobaki, bidhaa zinazoelekea ku expire, na bidhaa zilizoisha kabisa.

9.System itakuonesha bidhaa ipi inakuletea faida zaidi ya bidhaa nyingine.

10.System itakuwezesha kusimamia biashara zaidi ya moja na hata kama utahitaji kuhamisha biadhaa kutoka ofisi moja kwenda nyingine itawezekana ndani ya system.

11.Kwakuwa system ni ya online huhitaji kutembelea ofisi zako kwa ajili ya mahesabu.Utaweza kujua kila kinachoendelea katika biashara yako popote utakapokuwa katika dunia hii.

Mfumo huu utaweza kuupata kwa gharama ya Tsh 150,000 tu.

Fedhabook Tanzania
www.fedhabook.com
0677 818283
Anza kugawa.makanisan mkuu naona hata zile sadaka tunazoandika zinawachanganya
 
u.eandoka ahadi 120 k kwa mwaka unandkka ulichotoa unspoken msg tofauti na balance unayojua wapelekee update pepooompwaa
 
Mfumo huu unafaa kwq biashara ya aina yoyote inayofanya mauzo yawe ya bidhaa au hata huduma
 
Ongera sana ila kwanini ungetuma mfumo hata kwa laki kisha kuwe na kulipia mfumo kwa mwaka ada iwe hata elfu hamsini kuliko kila mwaka kulipa 150,000?
Ndo wale wanaoharibu biashara, na bila shaka huyu ni dalali tu.
-maelezo yanajirudia tu.
-huo mfumo wa online,wa ngapi wana uwezo wa internet full time! Si ile yetu ya 110,000?
-Ni kitu gani hapo kinachoweza kukuvutia kuitumia? Si kwamba ni mbaya,ila maelezo hayajitoshelezi.
-kwa 150,000 kwa mwaka,umehost wapi? Muuzaji atabaki na nini?

Hii kitu wahindi wa Medeil,mpaka leo hawana mpinzani. Lakini kosa kubwa walilofanya,ni kama hilo.
Watu hawana mda na mambo hayo, na wewe una ujuzi wako. Unalazimika kuwachimba mpaka wakuelewe,ndo uuze. Sasa,ni kama vile: unanunua hununui!?
 
Habari nzuri. Nauliza.
Ina Inventory Control option?

Data Security. Umesema data inakaa kwenye server zenu, mna security level gani?

Ikiwa mtu kafanikiwa kuingia server zenu, na data ya wateja kuvujishwa inakuwaje?

Kuweka data kwenu ni sawa na kuweka pesa benki. Je kuna mamlaka yoyote inaweza kuwaamrisha kutoa data za mtu fulani?
Nitashukuru kwa mrejesho
 
Swali zuri. Mimi naongezea, vipi kuhusu Backup System mme host wapi? Vipi pia kuhusu maintenance cost ya mfumo nani anagharimia?
 
AINA ZA BIASHARA AMBAZO TAYARI ZINATUMIA MFUMO HUU WA FEDHABOOK

Duka la kuuza Mawada (Pharmacy)
Maduka ya nguo
Duka la bidhaa rejareja
Supermarket
Wauzaji wa nafaka
Mgahawa wa chakula (restaurant)
Maduka ya Jumla
Maduka ya bidhaa za eletroniki n.k

Kuna biashara yako unayofanya na sijaitaja hapo na ungependa nawe kutumia mfumo huu wa fedhabook?
 
Sisi tuna mfumo wa kidigital(Dirm VFD) wa utoaji risiti za EFD. Unaweza kutumia mfumo kupitia simu Yako ya mkononi, tablet au computer. Umfumo kwa mawasiliano zaid piga 0784523861
 
Attachments

  • VID-20240229-WA0004.mp4
    6.9 MB
Anza kugawa.makanisan mkuu naona hata zile sadaka tunazoandika zinawachanganya
Makanisa Mengi hayana wi-fi, au wahusika wanaohusika na mambo ya hesabu wanatumia viswaswadu (simu ndogo) hawajui matumizi ya computer na hata wakiwa na simu kubwa hawajui matumizi nayo..
Kiufupi mfumo huu unahitaji angalau awe anajua matumizi madogo madogo ya computer

(Mtizamo wangu)
 
Ongera sana ila kwanini ungetuma mfumo hata kwa laki kisha kuwe na kulipia mfumo kwa mwaka ada iwe hata elfu hamsini kuliko kila mwaka kulipa 150,000?
Laki moja na hamsini ni sawa na shilingi 411 per day. Kwa miezi sita ni sawa na elfu sabini na tano.

So its a fair price kwa watu ambao tayari wameshaanza biashara ila wafanyabishara wachanga hiyo amount ingeshushwa kidogo kama ulivyosema at least iwe 50,000 hapo itaweza kuwa encourage wengi kujoin.
 
Habari nzuri. Nauliza.
Ina Inventory Control option?

Data Security. Umesema data inakaa kwenye server zenu, mna security level gani?

Ikiwa mtu kafanikiwa kuingia server zenu, na data ya wateja kuvujishwa inakuwaje?

Kuweka data kwenu ni sawa na kuweka pesa benki. Je kuna mamlaka yoyote inaweza kuwaamrisha kutoa data za mtu fulani?
Nitashukuru kwa mrejesho
Swali la nyongeza, je wanaweza kumtengenezea mteja kwa kutumia servers zake kisha wakatemana nae mteja akadeal na server zake mwenyewe bila kuhangaika na malipo ya mara kwa mara au kuingiliwa na watu wa nje kwenye shughuli zake?
 
inawezekana... ni suala la makubaliano tu
 
Back
Top Bottom