Car4Sale Nauza Mazda Verisa No. EEX Milioni 13

Habari Mkuu,

Gusa sehemu hiyo imeandikwa Attach files kuweka picha zako. Tazama kwenye picha hapa chini:

1710969441457.png
 
Habari Mkuu,

Gusa sehemu hiyo imeandikwa Attach files kuweka picha zako. Tazama kwenye picha hapa chini:

View attachment 2940512
Safi sana moderator Umetuwakilisha Vyema kabisa wanachama wa CHAWAPIJA..(Chama cha Waomba Picha Jamiiforum)..

Nikiwa kama katibu wao natoa Pongezi kwako😀😀

Mkuu Mwl Evarist Mchele Jaribu kufuata maelekezo ya kaka Moderator kuweka Picha ili tuone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom