Unapatikana dar maeneo ganHabarini wadau,
Nipo dar, nauza mayai ya kuku aina ya kroiler na vifaranga vya kuku aina ya kroiler. Pia tunatoa ushauri wa namna gani ya kufuga kuku kwa njia za asili. Kwa myenye mahitaji tuwasiliane kwa namba 0753776329 au 0719160198.
Poa leo nikija nitapata trei mojaNipo Dar, kimara suka
Habarini wadau,