Huwa yana kazi gani?
🤣 🤣 🤣 tell him. Mayai useless mtu anunue kwa 5m?Matapeli mna mbinu sana, tafuta kazi ya halali we boya!
Si utapasha!!?Mm nanunua mavi ya bundi ila yawe ya moto.
Wauzieagw CCMHabari wanajamii forum popote mlipo. Waswahili wanamsemo wao usemao asiyejua maana haambiwi maana nauza mayai mawili ya bundi yote kwa tsh milioni tano (tsh 5000,000) kwa anayehitaji tuwasiliane in box. Karibuni sana.View attachment 1585348
Habari wanajamii forum popote mlipo. Waswahili wanamsemo wao usemao asiyejua maana haambiwi maana nauza mayai mawili ya bundi yote kwa tsh milioni tano (tsh 5000,000) kwa anayehitaji tuwasiliane in box. Karibuni sana.View attachment 1585348
Si utapasha!!?
Kama mayai ya Bundi yanagharama kiasi hicho ya nini mimi kukomaa na kitabu.Habari wanajamii forum popote mlipo. Waswahili wanamsemo wao usemao asiyejua maana haambiwi maana nauza mayai mawili ya bundi yote kwa tsh milioni tano (tsh 5000,000) kwa anayehitaji tuwasiliane in box. Karibuni sana.View attachment 1585348