Nauza mayai mawili ya bundi

Nauza mayai mawili ya bundi

Mkuu hujasoma mchezo hapo? Mleta mada ndie huyo huyo uliemtaja kaja kwa mlango wa nyuma baada ya ule uzi wa promo.
Wabongo kwa kujistukia ndiyo maana hatupendi biashara tunapenda Ajira. But am in serious busness
 
Habari wanajamii forum popote mlipo. Waswahili wanamsemo wao usemao asiyejua maana haambiwi maana nauza mayai mawili ya bundi yote kwa tsh milioni tano (tsh 5000,000) kwa anayehitaji tuwasiliane in box. Karibuni sana.View attachment 1585348


Dah huu Uzi umerudi tena? Katika mazingira magumu tuliyonayo tunapata kutapeliana aisee mungu atusaidie ipo Siku atakuja mtu kulalamika hapa siku sio nyingi
 
Wameleta kazi yake ni hio mkuu.
Screenshot_2020-10-01-00-11-28-1.jpg
 
Hayo mayai ukila yanaongeza nguvu za kiume mkuu?
 
Duh hatari.


Mayai ya bundi 😳 😳 😳 😳 😳 😳
 
Dodoma Mayai Ya Bundi Mengi Sana Hayana Soko
Huku Wanauza Tray Kama Haya Ya Kisasa, Maana Wanataga Tu Kwenye Mawe, Nipe Deal Unataka Tray Ngapi.
 
Back
Top Bottom